fanya mambo

niliskiza morning fanya mambo by kshaka.. na pia rap kwa m.i.c by rap duo (judge na shakii) si morning imekua poa aje!! happy day. nawaza progress; nilikua na bob my head to the beat… mi in my ‘decent’ clothing/ office wear… vile hip hop imetoka from backstreet to pulpit to wallstreet ….

tukidress for the place haimean tunataka uni accept. nataka Respect na ntaipata. i applaud hio idea ya suits & mics. only that sikua … na pia on this i salute jay-z .. shawn carter. watu hujudge looks like image is everything… najua kitu that its not the only thing. just coz nabonga sheng slang usione sijaenda chuo… hio kilami naeza tu na sioni mbona kua proficient in another culture ni kitu big hivo. maybe tu naeza sema ni knowledge i appreciate that but not kuiworship. nina mother tongue ya kwangu na sijalazimu nayo mtu… story naleta ni about progress.

 

about kufanya mambo! like boy wangu chizi (dan aceda) aliunda “growth movement development”  hio imebaki kwa mind yangu. badala kutumia energy na kueka bidii kwa judgement si tukae tubonge. hii mbio sijui tunakimbiza nini. ati manoti? ni fine balance kati ya ‘haraka haraka haina baraka’ na ‘chelewa chelewa utapata mwana si wako’ ama ‘ngoja ngoja huumiza matumbo’ ama ‘ mwenda pole hajikwai’.. hio design. tujuliane hali.. tujuliane mali.. na tutamove mbele aje.

 

nikiwa kwa ndae nilikua napicture maboy tulihustle nao tumetulia tu kubreak bread. “it was all a dream cldnt imagine hiphop would make it this far” as najiangalia na vile naingia system. einstein alishawaambia universe anadhani inaeza kua na mwisho but ujinga ya binadamu ndio nikama iko vast blunder!

hiphop (read me) inafaakupata platform ya kuengage kila mtu kwa level yake. ki mental ki financial ki political ki social…

bible kuna place ianongea mwenzako hana faith kama hio yako usimfanye a fall into sin. make afeel  fit kiasi … watu huogopa change. the allusion of security ndio huleta wadhii wanaoshwa kwa .. usiblame nairobi na usi blame conman.. unafaa kuchukua hio loss kama lesson.. vile si husema ‘buda umechanuliwa’ hehe.

nataka kueza kueleweka na chris kirubi … si itabidi kuongea stock exchange , centum, capital fm… suti tie giorgio armani. mr.charles njonjo holla @ yo boy ha!

nadai kubonga na maboy mtaani … si hio sheng kiasi na kaka kama siezi unakua tu real pia coz itachukuliwa ni kama unawapima. nataoka mtaa respect muhimu.

nataka kuongea na madem wa ‘men are dogs’… unakubali … usifight but usiache akithink that thot zake ni divine. na pia usifanye afeellike experiences zake count for nothing.

nasema fanya mambo
” hustle hard whichever hustle you pick”….

kkua na open mind na sijaongea hata about religious fanatics … na the gospel of fear… jaribu kuileta to ” the opposite of fear is love”

 

to live and die in N.Y. in the hustle game
hustle cane, hustle clothes, or hustle music
but hustle hard in any hustle that you pick
skinny nigga toothpick but, but i do lift
weight like im using roids rolls royce
keep my movements smooth while maneuvering
through all the manures in the sewers that i grew up in
choi-ces we make trying to escape

 

no hook – jay-z

 

tabonga tu

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s